Mkurugenzi
wa U-turn blog Mange Kimambi na Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano
wakifurahia pamoja na watoto yatima walipofika katika kituo cha kulelea
watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu cha Kurasini jijini Dar es
Salaam,msaada wa vyakula na vitu mbalimbali uliokuwa na thamani ya
shilingi Milioni 10 ulitolewa na U-turn blog kwa ushirikiano wapamoja na
wasomaji wakuu wa Blog hiyo.
Ofisa
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiwa
amebeba mmoja wa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha kulea watoto
yatima cha Kurasini jijini Dar es salaam.Wakati wa blog ya U-turn kwa
kushirikiana na wasomaji wake wakuu walipokwenda kutoa msaada wa vitu
mbalimbali vikiwemo vyakula na nguo vyenye jumla ya thamani ya shilingi
Milioni 10.
Ofisa
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiwa
na watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha kulea watoto yatima cha
Kurasini jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi
wa U-turn blog Mange Kimambi na Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano
wakifurahia pamoja na watoto yatima walipofika katika kituo cha kulelea
watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu cha Kurasini jijini Dar es
Salaam,msaada wa vyakula na vitu mbalimbali uliokuwa na thamani ya
shilingi Milioni 10 ulitolewa na U-turn blog kwa ushirikiano wapamoja na
wasomaji wakuu wa Blog hiyo.
Mkurugenzi wa U-turn blog Mange Kimambi akizungumza na Watoto hao
Watoto wakikata keki.Picha Na U-turn Blog
No comments:
Post a Comment