Header Ads

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Mwinyihaji Makame akizungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na malengo, mafanikio ya Wizara yake kwa kipindi cha miezi sita kuanzia Julay hadi Disemba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Mwinyihaji Makame akizungumza na waandishi wa Habari kuhusiana namalengo na mafanikio ya Wizara yake kwa kipindi cha miezi sita kuanzia Julai hadi Disemba Kulia kwake ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Salum Maulid.na kushoto kwake ni Naibu katibu Mkuu idara Maalum Capt,Abdalla Juma.

No comments:

Powered by Blogger.