Mtandao huu umeshuhudia gari hii ya mizigo
ikiwa imebeba abiria na mizigo kama baiskeli, vinywaji ikiondoka kutoka
Mlowo kuelekea Kamsamba wilaya ya Mbozi, licha ya kukaguliwa na Askari
wa usalama wa barabarani na kuruhusiwa kuondoka, ambapo kwa hali hii
inatishia usalama wa abiria. (Picha zote na Ezekiel Kamanga, Mbozi wa
Mbeya Yetu Blog).
|
No comments:
Post a Comment