HATIMAE MGOMO WA WAFANYABIASHARA SOKO LA SOWETO MBEYA WAZAA MATUNDA SOKO LAANZA KUKARABATIWA Matrekta ya jiji yakisambaza vifusi na kusindili barabara ya kuingia soko la soweto jijini mbeya Barabara ya soko la soweto inayoendelea kutengenezwa Kabla ya kutengenezwa barabara hiyo ya soko la soweto. Kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog
No comments:
Post a Comment