SIOGOPI DNA, NAJUA MI SIO BABA WA HUYO MTOTO

Justin Bieber 17 amesema yuko tayari kupima DNA ili kuprove kwamba mtoto anayedaiwa ni wa kwake si wake. Mwanamke mmoja wa miaka 20 Mariah Yeater wiki iliyopita alijitokeza na kudai kwamba amezaa na Justin Bieber. Wananchi wa burudani za Justin wakataka kujua ukweli huku wengine wakimtaka msanii huyo kuprove. Na bila shaka Bieber amedai haoni shida yoyote ya kufanya DNA test kwasababu hakuwahi kushare bed na huyo mdada.
No comments:
Post a Comment