Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Tanzania inawaagiza Wamiliki wote wa kumbi za filamu Tanzania Bara kutofanya maonesho ya hadhara ya filamu yenye jina la FIFTY SHADES OF GREY inayoongozwa na Sam Taylor Johnson na kutengenezwa na Michael De Luka, Dana Brunetti na E.L. James.
by crispaseve7:43 AM
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo --- Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Tanzania inawa...Read More