UFUNGUZI SHEREHE ZA MAONESHO WIKI YA UTAFITI WA SAYANSI YA BAHARI WAFANYIKA ZANZIBAR
Mgeni
Rasmi Mkuu wa Kitengo cha Uratibu wa Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia
kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Aida Juma akitoa
hotuba ya ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa
Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dar es
Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Naibu
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi ya Bahari Chuo Kikuu Dar es salaam
Zanzibar Dk. Matern S.P.Mtolera akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mgeni
rasmi katika Ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti
wa Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dar
es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mgeni
Rasmi Mkuu wa Kitengo cha Uratibu wa Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia
kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Aida Juma kushoto
akipatiwa maelezo kuhusiana na utafiti wa mwani na Mtafiti wa Mwani Dk.
Flower Ezekiel Msuya katika ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya
Wiki ya Utafiti wa Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha
Sayansi ya Bahari Dar es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Baadhi
ya wageni waalikwa waliohudhuria katika Ufunguzi wa Sherehe za Nne za
Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo
Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dar es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B
Unguja.
Baadhi
ya wanafunzi wa Sayansi waliohudhuria katika Ufunguzi wa Sherehe za
Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti wa Sayansi ya Bahari iliofanywa na
Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dar es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B
Unguja.
Naibu
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi ya Bahari Chuo Kikuu Dar es salaam
Zanzibar, Dk. Matern S.P. Mtolera akizungumza na Waandishi wa Habari
mara baada ya ufunguzi wa Sherehe za Nne za Maonesho ya Wiki ya Utafiti
wa Sayansi ya Bahari iliofanywa na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Bahari Dar
es Salaam Buyu Wilaya ya Magharibi B Unguja. Picha Na Yussuf
Simai/Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment