FILAMU YA KISOGO YAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM.
Msanii wa Filamu nchini Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba (kushoto)
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa
uzinduzi wa filamu yake fupi ya Kisogo mapema jana jijini Dar es Salaam,
kulia ni Afisa Mawasiliano wa Kampuni ya Sarafu Media Bw. Myovela
Mfwaisa.
Afisa
Habari wa Kampuni ya Sarafu Media Bw. Myovela Mfwaisa (katikati)
kushoto akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati
wa uzinduzi wa filamu fupi ya Kisogo mapema jana jijini Dar es Salaam,
kushoto Msanii wa filamu hiyo Bw. Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba na
kulia ni Mtaalam wa TEHAMA toka Kampuni ya Uhondo Bw. Amon John.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakifuatilia filamu fupi ya Kisogo wakati
ikizinduliwa na msanii wa filamu hiyo Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba.
Picha zote na Eliphace Marwa - Maelezo
No comments:
Post a Comment