WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU MKAPA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa
wakati alipomtembelea Rais huyo Mstaafu nyumbani kwake jijini Dar es
salaam Mei 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa
wakati alipomtembelea Rais huyo Mstaafu nyumbani kwake jijini Dar es
salaam Mei 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment