SPIKA WA BUNGE AKABIDHI KIKOMBE MECHI YA BUNGE NA NMB
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (Kushoto)akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya Mpira wa Miguu ya
Bunge, Mheshimiwa Sixtus Mapunda mara baada ya mechi kuisha na timu ya
Bunge kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa bila dhidi ya NMB, mechi hiyo
ilifanyika jana katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto) akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia
Ackson (Kulia) ambae pia ni mchezaji wa timu ya mpira wa pete ya Bunge
kabla ya kuanza mechi ya mpira wa pete kati ya Timu ya Bunge na Timu ya
NMB iliyofanyika jana katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Wachezaji wa timu ya Mpira wa
pete wa Bunge na NMB wakipiga picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mechi
yao ambayo ilifanyika jana katika uwanja wa jamhuri Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment