Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo
March 3, 2017 imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha mjini Godbless
Lema, Mahakama hiyo ilimtaka Lema asaini bondi ya shilingi milioni 1 na
wadhamini wawili wenye vitambulisho vinavyotambulika ambapo alikidhi
vigezo na kuachiwa huru.
No comments:
Post a Comment