WAZIRI MKUU,MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUSHONA NGUO CHA TOOKU JIJINI DAR LEO.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati
alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo
la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agosti 10, 2016. Kulia
kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dr.
Adelhem Meru na wapili kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho,
Rigobert Massawe.

la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agost 10, 2016 . Kulia ni
Balozi wa China nchini, Dkt Lu Youqing na kushoto ni Meneja Mkuu
Msaidizi wa kiwanda hicho, Rigobert Massawe.

Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea kiwanda cha
kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External
jijini Dar es salaam Agost 10, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi
wa kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo eneo la EPZ,Mabibo
External jijini Dar es salaam baada ya kutembelea kiwanda hicho na
kuzungumza, Agosti 10,2016. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya
Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhem Meru na kulia kwake ni
Balozi wa China nchini, Dkt. Lu Youqing.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment