MIILI YA ASKARI WALIOUAWA NA MAJAMBAZI YAAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba, akipita kutoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yaliyobeba miili ya askari waliouawa baada ya kuvamiwa na
majambazi katika
eneo la Mbande, Temeke ,bada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika viwanja vya
polisi vilivyopo barabara ya
Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba, akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa askari waliouawa baada ya kuvamiwa na
majambazi katika eneo la Mbande, Temeke
ibada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika
viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya
Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni , akitoa mkono wa pole kwa
mmoja wa ndugu wa askari waliouawa baada
ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la
Mbande, Temeke ,ibada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika Viwanja vya Kambi Kuu ya
Polisi iliyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa kuaga miili ya askari waliouawa katika eneo la
Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na majambazi .Ibada hiyo ya kuaga ilifanyika katika Viwanja vya Polisi
vilivyopo barabara ya
Kilwa,jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu,
akizungumza wakati wa maombolezo na kuaga miili ya askari waliouawa katika eneo
la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na majambazi.Ibada hiyo ya kuaga ilifanyika katika Viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar
es Salaam.
No comments:
Post a Comment