IKULU:RAIS DKT JOHN MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA CANADA, THAILAND NA AUSTRIA LEO IKULU DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles
Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho
toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam leo
agosti 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Thailand hapa
nchini Mhe. Prasottiporn Wetpraisait Ikulu jijini Dar es salaam leo
agosti 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka
kwa Balozi wa Thailand hapa nchini Mhe. Prasottiporn Wetpraisait Ikulu
jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Austria hapa
nchini Mhe. Harald Gunther Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24,
2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli katika mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka
kwa Balozi wa Austria hapa nchini Mhe. Harald Gunther Ikulu jijini Dar
es salaam leo agosti 24, 2016.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment