UZINDUZI BARAZA LA WAWAKILISHI LA 9 LEO.
 Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zubeir Ali Maulid 
mara alipowasili katika viwanja vya jengo la Baraza hilo Mbweni nje ya 
Mji wa Zanzibar leo kuzinduz Baraza la 9.
  Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akipokea salamu ya Heshma ya gwaride la kikosi cha FFU wakati wa 
Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la Wawakilishi  liliopo Mbweni nje ya 
Mji wa Zanzibar leo.
Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akikagua gwaride la  kikosi cha FFU akiongozwa na Kamanda wa FFU Mjini 
Magharibi S.S.P Anani wakati wa Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la 
Wawakilishi  liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo.
 Rais 
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akitia saini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Baraza la Wawakilishi 
alipofika kulizindua Baraza la 9  la Baraza la 9 la Wawakilishi Baraza 
la  liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo(kulia) Spika wa Baraza la 
Wawakilishi Mhe,Zubeir Ali Maulid.

No comments:
Post a Comment