KATIBU MKUU NISHATI ATOA MAAGIZO EWURA
Mkurugenzi
Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),
Felix Ngamlagosi (aliyesimama), akiwasilisha mada kuhusu majukumu ya
Mamlaka hiyo wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa
Justin Ntalikwa alipofanya ziara ya siku moja Makao Makuu ya Mamlaka
hiyo jijini Dar es Salaam, hivi karibuni.
Wajumbe
wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)
pamoja na Viongozi Waandamizi wa Mamlaka hiyo, wakiwa katika kikao na
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa
(hayupo pichani), alipotembelea Makao Makuu ya Mamlaka hiyo jijini Dar
es Salaam, hivi karibuni.
Naibu
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji
(EWURA), Omary Bendera (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa Vitabu mbalimbali vyenye maelezo kuhusu Mamlaka hiyo, wakati alipotembelea Makao
Makuu ya EWURA hivi karibuni.
Makuu ya EWURA hivi karibuni.
Naibu
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji
(EWURA), Omary Bendera (kushoto) akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa Vitabu mbalimbali vyenye
maelezo kuhusu Mamlaka hiyo, wakati alipotembelea Makao Makuu ya EWURA
hivi karibuni.
Naibu
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji
(EWURA), Omary Bendera (kulia) akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara
ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya Nishati, Dkt Mhandisi
Juliana Pallangyo Vitabu mbalimbali vyenye maelezo kuhusu Mamlaka hiyo,
wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara, Profesa Justin Ntalikwa Makao Makuu ya EWURA hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment