Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Amos Makala- akemea uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya Maji
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala, akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Maabara Shule ya sekondari Dr chami.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos
Makala akizungumza na watendaji wa Vijiji, waratibu wa Elimu kata,
madiwani, wakuu wa idara na Kamati ya Ulinzi na usalama wakati
alipofanya ziara ya halmashauri ya Moshi.
Watendaji wa Vijiji, waratibu wa
Elimu kata, madiwani, wakuu wa idara na Kamati ya Ulinzi na usalama
wakimsikiliza kwa umakini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala
wakati alipofanya ziara ya halmashauri ya Moshi.
No comments:
Post a Comment