MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA CHINA LUMUMBA LEO
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula, akizungumza na
Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu
Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu
nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini
humo, kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya
CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni Mjumbe wa
Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk.
Asha Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula, akizungumza na Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo, kwenyemkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.

Mchambuzi
wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa
Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu
Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo,
akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) kwenye
mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kulia ni Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama,.

wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi
waKamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu
Hailiang, akimkabidhi zawadi Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu
Philip Mangula mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha
uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.
Mchambuzi
wa masuala ya Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa
Kamati ya Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu
Hailiang, akimkabidhi zawadi Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM
(NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha

Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula, akiwa kwenye picha ya
pamoja nje
ya Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba na Mchambuzi wa masuala ya
Siasa na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya
Maendeleo ya Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang,
na Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC) ,Siasa na Ushirikiano wa
Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro pamoja na wajumbe wengine kutoka
China.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment