MABADILIKO YA MUUNDO WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai akiongoza kikao cha wajumbe wakamati
ya kanuni Katika Ofisiza Bunge leo Jijini Dar es Salaam.
Spika waBunge la Jamhuri ya
Muungano waTanzania Mh. Job Ndugai (Katikati) akiwa na Naibu Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Ackson (kushoto) na
Mbunge wa Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro (CHADEMA) Mh. Freeman Mbowe
kabla ya kuanza kwa kikao kilicho wakutanisha wajumbe wakamati ya kanuni
na Spika, Katika Ofisi za Bunge leo Jijini Dar es Salaam leo tarehe
15/01/2015.
Mbunge waJimbo la Hai Mkoani
Kilimanjaro (CHADEMA) Mh. Freeman Mbowe akimueleza jambo Naibu Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Ackson kabla yakuanza
kwa kikao cha wajumbe wa kamati ya kanuni na Spika, Katika Ofisi za
Bungel eo Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment