Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali Mstaafu, Issa Machibya ashiriki uboreshaji wa miundombinu shule ya msingi Muungano mkoani
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali Mstaafu, Issa Machibya Katikati
akichimba mtaro kwa ajili ya kupitisha maji katika shule ya msingi
Muungano iliyopo Mwanga mkoani Kigoma, anayechimba naye mtaro ni Diwani
wa Mwanga Kusini (CCM), Mussa Maulid akishiriki katika uboreshaji huo
wa miundombinu ya shule hiyo, hivi sasa mkoa wa Kigoma una mvua nyingi.
Diwani
wa Kata ya Mwanga Kusini, Mussa Maulid (mwenye suti ya
michezo)akishiriki kuweka mazingira safi katika shule ya msingi Muungano
iliyoko Mwanga mkoani Kigoma sambamba na wanafunzi wa shule hiyo.
No comments:
Post a Comment