MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI WA MKOA WA DODOMA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi
wa Dini Mkoa wa Dodoma, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo kwenye Ukumbi wa
Hazina Ndogo mjini Dodoma leo Nov 16, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,
Chiku Galawa (kulia) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini
Mkoa wa Dodoma, Sheikh Ahmad Said Ahmed. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akijadiliana jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa, wakati wa mkutano na Viongozi wa
Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, kwenye Ukumbi wa Hazina
Ndogo mjini Dodoma leo Nov 16, 2015. Picha na OMR
Baadhi ya Viongozi wa Dini wa Mkoa wa
Dodoma,wakimsikiliza Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, wakati akihutubia
alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Kamati ya Mahusiano ya Viongozi wa Dini
Mkoa wa Dodoma kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma, leo Nov 16, 2015.
Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Kamati ya
Mahusiano ya Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma, wakati alipokutana nao kwa
mazungumzo kwenye Ukumbi wa Hazina Ndogo mjini Dodoma leo Nov 16, 2015. Kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment