WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAKISHIRIKI MICHEZO MBALIMBALI KATIKA SIKU YA FAMILIA YA CRDB
Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB mkoa wa Arusha wakishindana kuvuta kamba katika
viwanja vya Olasiti Garden leo katika sherehe za siku ya familia ya CRDB
ambazo hufanyika kila mwaka na kuhudhuriwa na familia za wafnayakazi
wa benki pamoja na familia za wateja.
Watoto
wakimkimbiza kuku katika mashindano yaliyofanyika kwenye sherehe za
siku ya familia ya CRDB ambazo hufanyika kila mwaka na kuhudhuriwa na
familia za wafanyakazi wa benki pamoja na familia za wateja
Malindi band ya mkoani kilimanjaro ikitumbuiza
sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo hufanyika kila mwaka na
kuhudhuriwa na familia za wafanyakazi wa benki pamoja na familia za
wateja
Mfanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la USA akikabidhi zawadi kwa mtoto |
No comments:
Post a Comment