UVCCM ZANZIBAR WAOMBA KUPATIWA MRITHI WA MZEE KINGUNGE KUNOGESHA USHINDI WAO
Mwenyekiti
wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini-Unguja ndugu Mbarouk Mrakib katikati akizungumza
na Waandishi wa habari huko ofisini kwake Bububu kuhusu mambo mbali mbali ikiwa
ni pamoja na kuomba kupatikana kwa Kamanda Mpya wa UVCC Taifa baada ya Mzee
Kingunge kuvuliwa Ukamanda huo. Kulia kwake ni Kamanda wa UVCCM Wilaya ya
Mfenesini Canal Msaafu Masoud Ali Khamis na kushoto ni Mjumbe wa Kamati tendaji
UVCCM Wilaya Khadija Ramadhan Abdu. Picha na Faki Mjaka- Maelezo Zanzibar.
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya
Mfenesini-Unguja ndugu Mbarouk Mrakib akizungumza na Waandishi wa habari
(hawapo pichani) ofisini kwake Bububu kulia Mjumbe wa Kamati tendaji UVCCM
Wilaya Khadija Ramadhan Abdu.
Baadhi ya wanachama wa UVCCM
wakimpongeza Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mfenesini-Unguja ndugu Mbarouk
Mrakib (hayupo pichani) mara baada ya kuzungumza na wandishi wa Habari ofisini
kwake Bububu.
No comments:
Post a Comment