IRELAND YAWAKABIDHI SCHOLARSHIP WATANZANIA 14 KUSOMEA SHAHADA YA UZAMILI
Balozi
wa Ireland nchini Tanzania, Bi. Fionnuala Gilsenan, akizungumzia kuhusu
ufadhili kwa Watanzania wanaokwenda vyuo mbalimbali vya ndani na nje ya
nchi. Sherehe hizo zimefanyika Alhamisi, Agosti 20, 2015 kwenye ofisi
za ubalozi huo Masaki jijini Dar es Salaam. (Picha na habari na Daniel
Mbega wa www.brotherdanny.com).
Baadhi ya wanufaika wa ufadhili huo wakimsikiliza Balozi wa Ireland (hayuko pichani).
Baadhi ya wafanyakazi na wageni waalikwa wakimsikiliza Balozi Gilsenan.
Deogratias
Gabriel Rugarabamu, Ofisa Tabibu wa Wilaya ya Kilindi, akipokea cheti
cha shukrani baada ya kuhitimu shahada ya uzamili ya Medical Entomology
and Clinical Parasitology katika Chuo Kikuu cha Tumaini, KCMC .
Balozi
Fionnuala Gilsenan wa Ireland akimpongeza Rubea Mohammed Ali, Mkuu wa
Idara katika Wizara ya Kilimo na Maliasili, Zanzibar baada ya kuhitimu
shahada ya uzamili katika Chuo Kikuu cha Sokoine katika Elimu ya Kilimo
na Ushauri (Agricultural Education and Extension).
David
Eliatosha Lekei, Ofisa Kilimo Wilaya ya Hai akipokea cheti cha shukrani
kutoka kwa Balozi wa Ireland nchini, Bi.Fionnuala Gilsenan baada ya
kuhitimu shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine katika Elimu
ya Kilimo na Ushauri (Agricultural Education and Extension).






No comments:
Post a Comment