TTCL MKOA WA ARUSHA YAWAKUMBUKA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU SIKU KUU YA IDD EL FITR
Kaimu Meneja wa Shirika la Simu
nchini(TTCL)mkoa wa Arusha na Manyara,Emmanuel Buchard(kulia)
akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwa makundi maalumu
kwaajili ya kusherekea Siku kuu ya Idd El Fitr,kushoto ni Mratibu wa
Kanda ya Kaskazini,Leonald Lemunge.
Kaimu Meneja wa Shirika la Simu
nchini(TTCL)mkoa wa Arusha na Manyara,Emmanuel Buchard(kushoto) akitoa
zawadi kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Watoto wenye ulemavu wa akili ya
Kaloleni jijini Arusha,Emmy Mbilinyi kwaajili ya kusherekea Siku kuu ya
Idd El Fitr leo.
Kaimu Meneja wa
Shirika la Simu nchini(TTCL)mkoa wa Arusha na Manyara,Emmanuel
Buchard(mwenye koti) akikabidhi zawadi mbalimbali Kituo cha Watoto
Yatima cha Moshono kwaajili ya kusherekea siku kuu ya Idd el Fitr.
Watoto wenye mahitaji maalumu
kutoka vituo vya St Joseph Orphanage Center(Moshono) na Shule ya Watoto
wenye ulemavu wa akili ya Kaloleni wakisikiliza nasaha za Kaimu Meneja
wa TTCL mkoa wa Arusha na Manyara,Emmanuel Buchard.
Watoto wenye mahitaji maalumu
kutoka vituo vya St Joseph Orphanage Center(Moshono) na Shule ya Watoto
wenye ulemavu wa akili ya Kaloleni wakiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa Shirika la simu nchini TTCL leo.
No comments:
Post a Comment