Amini Salimini Awania Ubunge Jimbo la Mkwajuni Zanzibar Kupitia Tiketi ya CCM
Katibu
Msaidi Ofisi ya CCM Wilaya ya Kaskazini a Unguja Ndg Shafi Hamad
akimkabidhi Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mkwajuni Amini Salimini,
baada ya kukamilisha taratibu zote za malipo na kutimiza masharti ya
Chama cha Mapinduzi.
Katibu Msaidi wa CCM Wilaya ya Kaskazini A Unguja akitowa maelezo kwa mgombea baada ya kumkabidhi fomu hiyo Ndg Amini Salimini.
Mgombea
wa Jimbo la Mkwajuni Wilaya ya Kaskazini A Unguja Amini Salimini akiwa
katika picha ya kumbukumbu na familia yake baada ya kuchukua Fomu ya
kugombea Ubunge wa Jimbo la Mkwajuni kwa tiketi ya CCM, akiwa katika
Ofisi za CCM Gamba.
No comments:
Post a Comment