Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika waendelea jijini Dar es Salaam
Kutoka
kushoto ni Mkurugenzi wa Sera ,Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Mathias
Kabunduguru, Prof. Samuel Wangwe, Katibu Mtendaji -Tume ya Mipango Dkt.
Phillip Mpango na wajumbe wengine wakifuatilia mada katika mkutano wa 12
wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wanachama wa Jumuiya ya Madola barani
Afrika.
Katibu
Mkuu Kiongozi wa Uganda Bw. John Mitala akiwasilisha mada katika
mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika
unaoendelea jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue na wajumbe wengine wakifuatilia
mada zinazowasilishwa katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma
wanachama wa Jumuiya ya Madola barani Afrika jijini Dar es Salaam.
Mtendaji
Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Kuwe Bakari na wajumbe wengine
wakifuatilia mada katika mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma
wanachama wa Jumuiya ya Madola barani Afrika.
Sekretariet inayohudumia mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa nchi za Afrika wanachama wa Jumuiya ya Madola.
No comments:
Post a Comment