RAIS KIKWETE AELEKEA GENEVA KWA ZIARA YA KIKAZI -LEO JULAI 14, 2015
Rais Jakaya Mrisho kikwete
akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshio
la Polisi IGP Ernest Mangu wakati akiondoka leo Julai 14, 2015 katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. PICHA ZOTE NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho kikwete
akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick wakati
akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kuelekea Geneva kwa
ziara ya kikazi.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na makada wa CCM wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Dar es salaam kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. Makada hao walikuwa
uwanjani hapo kwa mapokezi ya mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Maguful.
No comments:
Post a Comment