MAGUFULI AJITAMBULISHA KWA WANANCHI WA JIJI LA DAR
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi
wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya Zakheem Mbagala kwenye mkutano wake
wa kujitambulisha kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambapo aliahidi
kuwatumikia wananchi na kutenda haki.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wakazi wa jiji la
Dar es Salaam kabla ya kumkaribisha mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.
John Pombe Magufuli kujitambulisha na kuwasalimia wakazi wa Dar es
Salaam.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiwatambulisha viongozi mbali mbali waliomsindikiza mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli kwenye viwanja vya mikutano vya Mbagala Zakheem.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiwatambulisha viongozi mbali mbali waliomsindikiza mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli kwenye viwanja vya mikutano vya Mbagala Zakheem.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga ngoma za tumba
pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye kwenye
jukwaa la bendi ya TOT mara baada ya kumaliza kujitambulisha na
kuhutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Waandishi wa habari wakiwa kazini kwenye mkutano wa Dk. John Pombe Magufuli jijini Dar es salaam.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa
mkutano wa Mbagala Zakheem tayari kwa kujitambulisha kwa wakazi wa Dar
es Salaam.
No comments:
Post a Comment