JUMUIYA YA KUINUA VIPAJI VYA KUHIFADHI QURAN JIMBO LA KIKWAJUNI YANDAA MASHINDANO MADOGO YA KUHIFADHI QURAN.
M.C Ustadh. Khamis Ameir akisoma
utaratibu wa mashindano madoga ya kuinua vipaji ya kuhifadhi Quran ya
Jimbo la Kikwajuni yaliyofanyika uwanja wa Alabama Michenzani Mjini
Zanzibar.
Mwafunzi Ramla Khamsin Jafar wa
madrasati Nurul-iman akionyesha jitihada zake katika mashindano ya
kuhifadhi yaliyofanyika ya Jimbo la Kwahini. Picha na Makame
Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Baadhi ya washiri wa mashindano hayo wakifuatilia kwa kina mashindano hayo.
Jaji kiongozi Abushayth Daud Mohudhar akitoa matokeo ya mashindano hayo.
Mgeni rasmin Mbunge wa Kikwajuni
Mh. Hamad Yussuf Masauni akimkabidhi zawadi mshindi wa juzuu tano Fauzia
Said Ali wa Madrasat Akhlaq, pesa taslim shiling 100000.
Mgeni rasmin, ambae pia ni mzamini
wa Mashindano madogo ya kuinua vipaji vya kuhifandi Quran Mbunge wa
Jimbo la Kikwajuni Mh. Hamad Yussuf Masauni akitoa nasaha zake mara
baada ya kushuhudia mandano ya kuhifandi Quran yaliyoshirikisha
wanafunzi kutoka vyuo vinane vya jimbo la kikwajuni. (kulia) Mwakilishi
wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim (Aljazira) na kushoto ni Mwenyekiti wa
mashindano hayo Khamis Said Ali
Mbunge wa Kikwajuni Mh. Hamad
Yussuf Masauni (kulia) akiwa na mwenyeji wake Mwenyekiti wa Mashinda
hayo Ustahd Khamis Said Ali wakitikia dua mara baada ya kumalima
mashindo hayo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment