Header Ads

LHRC WAZINDUA KANZIDATA YA KATIBA JIJINI DAR ES SALAAM

Afisa KANZIDATA wa maswala ya katiba, Mr. Majaliwa Ngairo wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu akionyesha kwa videto juu ya utumiaji wa KANZIDATA ya KATIBA kwa mgeni rasmi Mhe. Jaji mstaafu Thomas Mihayo na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dr. Helen Kijo-Bisimba.
Afisa utafiti wa maswala ya katiba, Ms. Geline Fuko wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu akielezea juu ya utumiaji wa KANZIDATA ya KATIBA kwa mgeni rasmi na wageni waalikwa ndani ya KATIBA INFORMATION CENTRE katika ofisi za LHRC - Mbezi Upepo Avenue

Meza kuu ikiwa tayari kwa uzinduzi wa KANZIDATA ya KATIBA. Kutoka kushoto ni Dr. Khoti Kamanga, Dr. Helen Kijo-Bisimba, Mgeni rasmi Mhe. Jaji mstaafu Thomas Mihayo, Mwenyekiti wa bodi ya LHRC Prof. Geofrey Mmari na mkurungenzi wa idara ya Utetezi na Maboresho Wakili Harold Sungusia.


Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dr. Helen Kijo-Bisimba, mgeni rasmi Mhe. Jaji mstaafu Thomas Mihayo, Mwenyekiti wa bodi ya LHRC Prof. Geofrey Mmari, Dr. Khoti Kamanga na mkurungenzi wa idara ya Utetezi na Maboresho Wakili Harold Sungusia wakifuatilia kwa umakini maelezo juu ya matumizi ya KANZIDATA (DATA BASE) ya KATIBA

No comments:

Powered by Blogger.