KONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG’OMBE
Askari
wakisaidia kushusha kwenye gari saruji iliyotolewa msaada na Kampuni ya
Konyagi ya Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa
Kituo cha Polisi Chang’ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa
vifaa vya ujenzi vikiwemo pia mabati, misumari na fedha ya mafundi
vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam.
Askari
wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa msaada na Kampuni
ya Konyagi ya Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi
wa Kituo cha Polisi Chang’ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji
wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia saruji, misumari na fedha ya mafundi

Inspekta John Mkweru (kushoto) akiangalia msaada wa misumari uliotolewa na Konyagi kwa kituo hicho.
No comments:
Post a Comment