Kasi ya Utekelezaji miradi ya NHC Mtwara yafurahisha bodi ya shirika hilo
Mkurugenzi
wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akielekeza jambo
wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu
Masasi, mkoani Mtwara ambapo pamoja na mambo mengine amesifu kasi ya
ujezi wa nyumba hizo unaozingatia viwango na muda na akawataka
wafanyakazi wa NHC kuchapa kazi ili kufikia malengo yao waliyojiwekea.
Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi, wa pili ni Eliaisa
Keenja wa NHC, Meneja wa NHC mkoa wa Mtwara, Joseph John na Injinia wa
mradi huo Leonard Kazoba.
Mkurugenzi
wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akimsikiliza
Mhandisi wa mradi huo Leonard Kazoba wakati wa ziara yake aliyoifanya
kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara.

Baadhi ya Nyumba za gharama nafuu zilizoko mkoani Mtwara.
No comments:
Post a Comment