Waziri wa uchukuzi samwel sitta amsimamisha kazi MKURUGENZI MTENDAJI TRL KWA TUHUMA ZA MALIPO KINYUME CHA MKATABA
Waziri wa Uchukuzi,Samwel Sitta akionyesha baadhi ya Ripoti za
uchunguzi za mamlaka ya Bandari,TPA na Ripoti ya shirika la Reli jijini Dar es
Salaam leo.
Waziri wa Uchukuzi,Samwel Sitta akizungumza na waandishi wa habari
kuhusiana kuwasimamisha baadhi ya watendaji wakuu wa kampuni ya Reli hapa
nchini uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es
Salaam leo.
Baadhi ya Waandishi wa Habari walio hudhuria katika mkutano wa
Waziri wa Uchukuzi,Samwel Sitta katika wizara hiyo jijini Dar es Salaam
leo.Picha na Avila kakingo
----
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Reli nchini(TRL),Mhandisi
Kapallo Kisamfu amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa malipo ya Sh. Bilioni
230 ya mabehewa ya Mizigo yenye kasoro pamoja na kufanya malipo ya mabehewa
yote kabla ya kukamilika
No comments:
Post a Comment