Picha na Taarifa Kutoka Wizara ya Fedha:Mkutano wa kundi la Afrika wafanyika mjini Washington DC
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akifuatilia
kwa karibu majadiliano ya mkutano huu wa kundi laAfrika. (African Group
one Constituency).
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akishiriki
katika mkutano huu wa kundi la Afrika. (African Group one Constituency)
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akichangia
Mada katika mkutano huu wa kundi laAfrika. (African Group one Constituency)
Gavana wa Benki kuu Prof. Benno Ndulu akifuatilia
kwa makini mkutano wa kundi la Afrika unavyoendelea. (African Group
one Constituency)
No comments:
Post a Comment