MANISPAA YA ILALA YAELEZEA UBORESHAJI WA UKUSANYAJI WA MAPATO YAKE
Meneja
Uhusiano wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu (kushoto), akizungumza katika
mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu uboreshaji wa
ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri hiyo. Kulia ni Meneja Kodi Majengo,
Stellah Mgumia.
Meneja Kodi Majengo wa Manispaa hiyo, Stellah Mgumia akitoa ufafanuzi mbalimbali wa ukusanyaji wa mapato.
Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika wa Manispaa hiyo, Francis Luambano (kushoto), akizungumza na wanahabari katika mkutano huo.
Ofisa Biashara wa Manispaa hiyo, Dennis Mrema, akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Mkutano ukiendelea.
No comments:
Post a Comment