MABARAZA YA WAFANYAKAZI TAASISI ZA ELIMU YA JUU YATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI.
Naibu
Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Nchemba (katikati) akiwa
ameambatana na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania Dkt. Joseph
Kihanda (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wizara Prof. Isaya
Jairo kabla ya kuzindua Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Taasisi ya
Uhasibu Tanzania (TIA) lililojumuisha wawakilishi kutoka matawi 6 ya
taasisi hiyo katika mikoa ya Kigoma, Singida, Mwanza , Mtwara, Dar es
salaam na Mbeya.
Naibu
Waziri wa Fedha (Sera) Mhe. Mwigulu Nchemba wakati akizindua Baraza la
Pili la Wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) leo mjini
Bagamoyo.
Wajumbe
wa Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)
wakiimba wimbo wa mshikamano daima kabla ya kuanza kwa mkutano wao leo
mjini Bagamoyo.
SOMA ZAIDI HAPA
SOMA ZAIDI HAPA
No comments:
Post a Comment