ZITTO ATEMBELEA KITUO CHA ALBINO BUHANGINJA MKOANI SHINYANGA
Kiongozi
wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akizungumza na watoto walemavu
wenye albinism,walemavu wa macho na viziwi waliopo kwenye kituo cha
kuwahifadhi cha Buhanginja Mkoani Shinyanga jana.
Mwalimu
wa kituo cha Shule maalum kwa watoto walemavu wenye albinism, walemavu
wa macho na viziwi waliopo kwenye kituo cha kuwahifadhi cha Buhanginja
Mkoani Shinyanga, Peter Francis, akiwapa maelezo ya kituo hicho viongozi
wa ACT-Wazalendo walipofanya ziara kwenye kituo hicho sehemu wanazo
lala watoto.Picha na Said Powa.
Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akizungumza na mmoja wa watoto hao.
No comments:
Post a Comment