LAPF YAOKOPESHA SACCOS YA WALIMU RUANGWA
Meneja
wa Kanda ya Mashariki Bw. Yesaya. Mwakifulefule akikabidhi hundi kwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ruangwa Bw. Nicolaus Kombe wakati
wa sherehe za makabidhiano zilizofanyika jana Ruangwa mkoani Lindi. Hii
ni mikopo ya wanachama kupitia SACCOS zinazotolewa na Mfuko wa Pensheni
wa LAPF ili kuwawezesha kutimiza malengo yao mbali mbali wakati wakiwa
bado kazini au kabla ya kusataafu. Hadi kufikia sasa LAPF imetoa mikopo
ya zaidi ya sh, 2.2 bilioni.LAPF
imeikopesha Saccos ya Walimu katika Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa
mkopo wenye thamani ya shilingi milioni mia moja (100,000,000).
Meneja wa Kanda ya Mashariki Bw. Yesaya. Mwakifulefule akizungumza jambo mbele ya wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati
wa sherehe za makabidhiano ya hundi,ambazo hutolewa kama sehemu ya
mikopo ya wanachama wa SACCOSS na mfuko wa pensheni wa LAPF ili
kuwawezesha kutimiza malengo yao mbalimbali wakati wakiwa bado kazini au
kabla ya kustaafu,hafla hiyo ilifanyika jana Ruangwa mkoani Lindi.
LAPF imetoa mikopo ya zaidi ya sh, 2.2 bilioni.LAPF
imeikopesha Saccos ya Walimu katika Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa
mkopo wenye thamani ya shilingi milioni mia moja (100,000,000).
Mkurungezi
wa Halmashauri ya Ruangwa Bw. Nicolaus Kombe akimkabidhi hundi
Mwenyekiti wa Saccos ya Walimu Ruangwa Bw. Hamisi Salum Marungu wakati
wa Makabidhiano hayo.
Afisa wa Mipango na Uwekezaji Bw. Filbert Francis akitoa maelezo kuhusu Mikopo ya SACCOs wakati wa sherehe za makabidhiano.
Mkurungezi wa Halmashauri ya Ruangwa Bw. Nicolaus Kombe akizungumza jambo mbele ya wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati
wa sherehe za makabidhiano ya hundi,ambazo hutolewa kama sehemu ya
mikopo ya wanachama wa SACCOSS na mfuko wa pensheni wa LAPF ili
kuwawezesha kutimiza malengo yao mbalimbali wakati wakiwa bado kazini au
kabla ya kustaafu,hafla hiyo ilifanyika jana Ruangwa mkoani Lindi.
LAPF imetoa mikopo ya zaidi ya sh, 2.2 bilioni.LAPF
imeikopesha Saccos ya Walimu katika Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa
mkopo wenye thamani ya shilingi milioni mia moja (100,000,000).
No comments:
Post a Comment