KIKUNDI CHA WANAWAKE CHA WOMEN WITH VISION WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA KATIKA MSIMU HUU WA PASAKA
![]() |
| Wanakikundi wa women with vision wakiongozwa na mwenyekiti wao Herieth Makombe wakiwa katika kituo cha msimbaz centre walipofika na kutoa misaada ya baadhi ya mahitaji katika kuwakumbuka watoto yatima katika msimu huu wa sikukuu za pasaka . |
![]() |
| Baadhi ya mahitaji ambao walitoa katika kituo cha msimbaz centre katika |
![]() |
| Baadhi ya wakinamama wa kikundi cha women with vision wakiwa katika picha ya pamoja na mlezi wa kituo cha watoto yatima Msimbazi centre wakati walipotembelea na kutoa msaada wa baadhi ya mahitaji kwa ajili ya kuwafariji na kuwajali katika msimu huu wa sikukuu za pasaka ambapo walitoa msaada katika vituo viwili vya Msimbaz centre na Mburahati . |



No comments:
Post a Comment