ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Misingi la ujenzi wa nyumba za
watunmishi wa Halmashauri ya Busokeleo wilayani Tukutu unaofanywa na
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika kijiji cha Rungwa akiwa katika
ziara ya mkoa wa Beya Februari 27, 2015. Wapili kushoto ni mkewe Tunu.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akigua nyumba zinazojengwa na Shirikal la Nyumba la
Taifa (NHC) karika kijiji cha Rungwa kwa ajili ya watumishi wa
Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe akiwa katika ziara ya mkoa wa
Mbeya Februari 27, 2015. Watatu kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,
Mark Mwandosy na wapili kushoto ni Mkurugenzi wa NHC, Haikaman Mlekio.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la msingi la mradi wa
umwagiliaji wa Katerantamba katika halmashauri ya Busokeleo wilayani
rungwe akiwa katika ziara ya mkoa wa beya Februari 28, 2015.
Mke
wa Waziri Mkuu, Mamam Tunu Pinda akivalishwa kitenge na bibi Hilda
Mwasikili katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda mjini Tukuyu Februari 27, 2015.
No comments:
Post a Comment