Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM ikulu Dar es Salaam
.jpg)
Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya
Halmashauri kuu ya taifa ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wapili kulia ni
Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein na wawatu kulia ni makamu wa
Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana.
.jpg)
Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwaongoza wajumbe wa Kamati Kuu
ya Halmashauri Kuu ya Taifa kusimama kwa dakika chache kumkumbuka
mjumbe wa baraza la wawakilishi wa jimbo la Magomeni Zanzibar ambaye pia
alikuwa mjumbe wa kamati hiyo leo wakati wa kuanza kikao cha kamati
hiyo ikulu jijini Dar es Salaam.(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment