WALITUMWA AU VIMETOKA MIOYONI MWAO.?
Haya
ni mabango yenye ujumbe mmoja lakini kwa nyakati na siku tofauti
kuhusiana na kifo cha Al Marhuum Salmin Awadh Salmin aliyekuwa
Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM) na
muasisi wa hoja binafsi ya kuvunjwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa
Zanzibar ambayo sasa inakamilisha miaka mitano. Salmin alifariki ghafla
Mjini Unguja tunamuombea kwa Mola apumzike kwa amani na Allah aipokee
na kuilaza roho na kiwiliwili chake kwa utulicu. Amin
No comments:
Post a Comment