Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowasaa akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akisalimiana

Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa
akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose
ofisini kwake,jijini Dar es salaam
leo.

Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akiagana
na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao.
No comments:
Post a Comment