WAKUNGA WA JADI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WATALAM WA AFYA ZANZIBAR
Naibu
Waziri wa Afya Zanzibar Mahamoud Thabit Kombo akizungumza na
wakunga wa
jadi, na kuwataka washirikiane na watalaam wa Afya katika kazi zao ili
kupunguza vifo vya Akinamama na watoto.
Msaidizi
daktari dhamana Hospitali ya Muembe ladu Ruzuna A.M. Shamte
akifahamisha kitu katika mkutano wa wakunga wa jadi na watalam wa afya
huko Kivunge Mkoa wa kaskazini “A” Unguja.
Baadhi
ya Wakunga wa Jadi na watalam wa Afya waliofika katika
mkutano wa
kukuza mashirikiano huko Kivunge Mkoa wa kaskazini “A” Unguja
wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahamoud Thabit Kombo
(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao.
Dkt.
Dhamana Hospitali ya Kivunge Khamis Hamad Ali akitoa nasaha zake katika
mkutano wa Wakunga wa Jadi na watalam wa Afya wa kukuza
mashirikiano katika kufanya kazi zao. Picha na Makame Mshenga- Maelezo
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment