KINANA ATOA USHAURI KWA KATIBU MKUU KIONGOZI KUWASIMAMISHA MARA MOJA VIONGOZI WALIOTAJWA KWENYE SAKATA LA ESCROW .

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa amebeba maji kwenye madumu aliposhiriki umwagiliaji maji katika
shamba
la nyanya la vijana wajasiriamali wa CCM katika Kijiji cha Nkulabi,
Kata ya Mpunguzi, Jimbo la Dodoma Mjini leo wakati wa ziara yake,Kinana
yupo mkoani Dodoma kwa ziara ya siku tisa ya kukagua utekelezaji wa
Ilani ya Uchaguzi, kuimarisha uhai wa chama na kusikiliza kero za
wananchi pamoja na kuzitafutia ufumbuzi.
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

, akishiriki kuchimba mtaro wa mradi wa maji katika Kata ya
Nzuguni
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Kinana akishiriki ujenzi wa chumba cha darasa katika Shule
ya Sekondari Lukundo mjini Dodoma leo.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akihutubia katika
mkutano
wa hadhara mjini Dodoma, ambapo ametoa ushauri kwa Katibu Mkuu
Kiongozi, kuwasimamisha mara moja watumishi wanaotajwa kwenye sakata la
Escrow kama CCM ilivyowasimamisha viongozi watatu waliotajwa kwenye
sakata hilo.
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Baadhi ya Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakiwajibika.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia
wakazi wa Dodoma mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Barafu,Nape
aliwaambia wakazi hao kuwa makini na wapinzani kwani wamekuwa
wakihangahika na fedha za wafadhili ambazo hawaitakii mema nchi yetu.

Baadhi ya wanachama wapya waliojunga na CCM wakila
kiapo wakati wa mkutano huo
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana (wa tatu shoto) akiongoza kula kiapo cha CCM wakati wa mkutano huo.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Ndugu Adam Kimbisa akiwahutubia wakazi wa Dodoma mjini kwenye mkutano wa
hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Barafu.


Pichani ni baadhi ya Wafuasi wa chama cha CCM na wananchi wakishangilia jambo kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment