ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA WILAYANI KYELA
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa chelezo ya kuundia meli kwenye
bandari ya Itungi, Kyela akiwa katika ziara ya siku moja wilayani humo
Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwendesha
baiskeli akipita katika daraja la zamani la Mwaya wilayani Kyela huku
wakitazama daraja jipya (kulia) lilozinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela
akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya Februari 26, 2015. Wapili kulia ni
mkewe Tunu na wapili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kyela anayeoondoka,
Margareth Malanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Zamani wa Mbeya
Mzee John Mwakipesile baada ya kuwasili kwenye makazi ya Mkuu wa
Wilaya ya Kyela kwa ziara ya siku moja wilayani humo Februari 26, 2015.
(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Wanafunzi wakimpungia mkono Waziri Mkuu Mizengo Pinda hayupo pichani
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu wa CAHDEMA wa kata ya
Mwaya, Ageni Pamesa kabla ya kufungau maabra ya shule ya sekondari ya
Mwaya akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mbeya Februari 26, 2015. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) akitazama mafunzo kwa
vitendo wakati alipokagua maabara ya Kemia katika shule ya seondari ya
Mwaya wilayani Kyela Februari 26, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment