RAIS KIKWETE ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU LEO
.jpg)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za
mwisho kwa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa
TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Masaki jijini Dar es salaam leo.
.jpg)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji Mkurugenzi Nkuu
wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea Msaki jijini Dar es salaam leo walipofika
heshima zao za mwisho kwa mama yake mzazi Marehemu Esther Gigwa Hosea
huko Masaki jijini Dar es salaam leo.
.jpg)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete pamoja na Makamu wa Rais Dkt
Mohamed Ghariv Bilali, Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakiwa
pamoja na wafiwa wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Esther Gigwa Hosea,
Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Masaki
jijini Dar es salaam leo.
.jpg)
Sehemu
ya wafiwa na waombolezaji wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Esther
Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea
huko Masaki jijini Dar es salaam leo. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment