Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mh. CAPTAIN JOHN KOMBA Amefariki Dunia huko Nyumbani Kwake Mbezi Beach Sababu ya kifo chake mbunge huyo wa mbinga bado hakijafahamika .
Endelea kufuatilia kwa habari zaidi.
BREAKING NEWS: CAPTAIN JOHN KOMBA AMEFARIKI DUNIA
Reviewed by
crispaseve
on
6:45 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment