Wamiliki wa Blog Tanzania kukutana kesho Serena Hotel
Mwenyekiti
wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na mmiliki wa Blog ya The
Habari.com Joachim Mushi (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na
waandishi. Kutoka kushoto ni mjumbe wa TBN Mkala Fundikira, Afisa wa
kampuni ya mawasiliano na matangazo ya AIMS, Shafiq Mpanja wa AIM, Ofisa
Uhusiano wa NMB Doris Kilale na mjumbe wa TBN Khadija Kalili. Katika mkutano huo TBN imesema kesho Jumamosi jioni Bloggers takriban 100 kutoka sehemu mbalimbali nchini watakutanika katika ukumbi wa hoteli ya Serena jijini Dar es salam kwa ajili ya hafla ya mwaka mpya itayohudhuriwa pia na wadhamini na marafiki wa Bloggers.
Ofisa Uhusiano wa NMB Doris Kilale akifafanua jambo wakati wa mkutano.
Mmiliki wa Blog ya Bongoweekeend Khadija Kalili akizungumza wakati wa mkutano.
Father Kidevu (kulia) akifafanua jambo wakati wa mkutano.
Option
Baadhi
ya Bloggers na waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari wakifuatilia
jambo wakati wa mkutano uliofanyika katika Ofisi za Idara ya Habari
Maelezo Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment